Saida karoli
Ukiacha ukabila ukawa general .. Post zako zitakuwa na maslay kwa wengi.. Ila ukiendelea na hii tabia ya ukanda na Uhaya unaokusumbua utaishia kudharaulika humu ndani.. Kwanza post zako nyingin kujaza trend nyingi zisizo na maana... Kila kitu bukoba , uhaya , Sauda karoli kafanya nn mwaka huu?? Yaan mtu kushikwa mkono anagalao aanze kurudi tayari ni msanio bora wa mwaka???
Nimeona post nyingi zako unabishana na watu ukabila nikawa natafuta kujua kwanin kila post yako mmnabishana na watu ukabila sasa nimegundua kumbe wewe ndio chanzo cha ukabila huku ndani...
Bora ukae tu bila kupost kama huna vitu vya maslayi mapana kwa wote.. Unatuchosha..na uhaya na ubukoba kwenye kila kitu..
Allaah...
Nahisi umemiliki simu ya smartphone mwaka huu maan Siyo kwa ulimbukeni huwo.. Au kama sijakosea elimu yako ni ndogo sana... Acha ukabila..
Naona saida karoli kajifungulia uzi wa kujisifu
hahahahaKumpenda saida karori ndo kuwa mkabila kweli we ndo mkabila mkubwa unaefikiria hivyo poor thinking .ukabila ndo huo wa kwa nini kabila lile lakini sio wa kutoa habari kama ninavyofanya.hebu nikwambie ukweli una roho mbaya na wivu mkubwa
Nilikuona kwenye uzi wa Bukoba vs Moshi mishipa ya kichwa ilikusimama kisa kubishanaNimeandika kihaya wapi
hahaha mkuu mm na yy ndio tulikuwa tunaamsha dudeNilikuona kwenye uzi wa Bukoba vs Moshi mishipa ya kichwa ilikusimama kisa kubishana
Anyway unakaukabila kwel hata halipingiki hilo
NOTE: Ukimind Basi ujue ni kwel