Kuna pini la Rosa ree ft kaligraph jones ni habari ingine thou namkubali sana kemikaliiRosa Ree vs Chemical hivi nani mkali
Rosa ReeRosa Ree vs Chemical hivi nani mkali
ni noma..one time remix ila chemical alikataa kufanannishwa na Rosa Ree sijui anaogopa??Kuna pini la Rosa ree ft kaligraph jones ni habari ingine thou namkubali sana kemikalii
Hao wengine huwaelewi mkuuRosa Ree
Chemical.Rosa Ree vs Chemical hivi nani mkali
Wewe ni mwl?nimeshindwa kuchagua kati ya rosa lee na chemical
so wanashika namba moja wote wawil 1.5
[emoji56] [emoji56] hata rosa ree nae anaflow vizuriChemical.
Rosa ree kelele nyingi anazidi hadi biti
hapana mkuu nimekumbuka tu ripoti za shule ya msingi tukishika nafasi moja watu watu wawili mfano mtu wa pili wanaweka point tano(2.5)Wewe ni mwl?
Yule hajui kutembea mdundo sawa...swaga nyingi zisizokuwa na msingi kwenye hip hop.[emoji56] [emoji56] hata rosa ree nae anaflow vizuri
Yule hajui kutembea mdundo sawa...swaga nyingi zisizokuwa na msingi kwenye hip hop.[emoji56] [emoji56] hata rosa ree nae anaflow vizuri
[emoji56] [emoji56] hata rosa ree nae anaflow vizuri
Ohoo...mfano zipiYule hajui kutembea mdundo sawa...swaga nyingi zisizokuwa na msingi kwenye hip hop.