hassandilunga
Senior Member
- Mar 17, 2020
- 146
- 149
Ip Man4🙌🙌 vs Scott Adkins(boyka)
Jet Lee..Wote ni wakali wa filamu nchini China. Walitamba sana filamu zao. Filamu nzuri za Ngumi. Nani zaidi kati ya Donnie Yen na Jet Lee.(Ukiambiwa umchague mmoja)View attachment 1433119
ogopa sanaaaa jet Lee awe na ka nywele nyuma 😁😁😁Ni moto wa radiiWote ni wakali wa filamu nchini China. Walitamba sana filamu zao. Filamu nzuri za Ngumi. Nani zaidi kati ya Donnie Yen na Jet Lee.(Ukiambiwa umchague mmoja)View attachment 1433119
mhhhh donie yen hatabiriki[emoji23][emoji23][emoji23]Binafsi anayenivutia Sana kwa mapigo Ni jet Lee ila ninachokipenda kwa hawa miamba movie zao zote unaangalia bila hata kuwa na wasiwasi wakupeleka mbele movie na unaweza pia movie zao kuangalia na watoto tofauti na movie nyingi za wazungu.
Kivip?
hawa jamaa wote n wakali mpaka kunatime nashindwa kuwatofautishaWote ni wakali wa filamu nchini China. Walitamba sana filamu zao. Filamu nzuri za Ngumi. Nani zaidi kati ya Donnie Yen na Jet Lee.(Ukiambiwa umchague mmoja)View attachment 1433119
😀😀Kupaa au
So Nani zaidi???