Yupi ni Golikipa Bora Kuwahi Kumshuhudia?

Camilo Cienfuegos

JF-Expert Member
Joined
Apr 23, 2015
Posts
18,960
Reaction score
67,654
Kufuatia Mkongwe wa Real Madrid, Iker Casillas Kuhamia Fc Porto baada ya Miaka kadhaa ya heshima kama mmoja wa golikipa bora zaidi wa kizazi chake kuwahi kutokea katika uso wa Dunia.

Yupi ni Golikipa bora zaidi kuwahi kumuona toka ulipoanza kufatilia soka.?
 
Levi yashin wa ussr ndio anatambulika kama goal keeper bora duniani na fifa, kuthibitisha hivyo ata Tuzo ya kipare bora Duniani inaitwa kwa jina Lake
 
Levi yashin aliitwaa the spring duh umenikumbusha mbaliiiii.
 
bambino wa msisiri na kipunje wa mbili chali na chuya wa white star
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…