Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Ngoja nikumbuke vizuriHii ni list ya wachezaji wa Brazil ambao wamecheza zama tofauti, chagua mmoja ambaye unamkubali zaidi.
Chaguo langu ni Ronaldo De lima, jamaa ni bora sana kuliko wote hapoView attachment 1577957
Mimi na amini ndani ya uwanja ni neymer Jr na GauchoHii ni list ya wachezaji wa Brazil ambao wamecheza zama tofauti, chagua mmoja ambaye unamkubali zaidi.
Chaguo langu ni Ronaldo De lima, jamaa ni bora sana kuliko wote hapoView attachment 1577957
Ronaldo De Lima
Weka mafanikio ya kila mmoja ngazi ya Taifa na clubs then utapata jibu
Pele sijamuona akicheza live.. zaidi ya kumsoma tu stori zake . So simchagui..
Katika waliobaki my pick ni ronaldinho
Binafsi naona wate kako walikua vizuri sana kwenye nafasi zao walizocheza zaidi nazaidi namkubali sana Dinyo.
Mimi na amini ndani ya uwanja ni neymer Jr na Gaucho
Kuhusu pele na Babeto sijui
KAKA
Mimi kuna watu watatu ama wanne..kuna Mbrazil mmoja alikuwa anaitwa RAI. Halafu kuna Romario huyu aliibeba mabegani Brazil. Kuna Cafu na kamanda mtiifu DUNGA. Hawa walikuwa kazi hasa. Chakulia BEBETO je nani atasimama miaka hiyo na wanaume hao