Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
TunawasubiriWazee wa kuweka mkeka njooni mtiririke, najua ninyi hampitwi mechi kulingana na kazi yenu ya kumtwanga Mhindi
Naona bado wanategeshea OddsTunawasubiri
Fafanua kwanza unaposema mchezaji wa msimuTukiwa tunakaribia kuingia mwezi wa nne baada ya kuanza kwa msimu wa soka katika ligi mbalimbali barani Ulaya, yupi mpaka sasa ni mchezaji ambaye amepafomu vizuri kushinda wenzake kiasi cha kuweza kumuita mchezaji wa msimu mpaka hapa tulipofikia.
Kwangu mimi bila kupepesa macho wala kutikisa masikio, Robert Lewandowski ndiye mchezaji bora wa msimu mpaka kufikia sasa. Goli 31 katika michezo 26 sio jambo la kubeza. Nadiriki kusema jamaa haimbwi sana ila ana uwezo wa juu sana.
Kwako wewe, mchezaji wako bora so far ni yupi?
Kwa Immobile nakuunga mkono 100%1. Robert Lewandowski
2. Karim Benzema
3. Ciro Immobile
Rudi shule ukasome mkuu, uzi haukufaiFafanua kwanza unaposema mchezaji wa msimu
Robert Lewa Ndoo ya WhiskeyTukiwa tunakaribia kuingia mwezi wa nne baada ya kuanza kwa msimu wa soka katika ligi mbalimbali barani Ulaya, yupi mpaka sasa ni mchezaji ambaye amepafomu vizuri kushinda wenzake kiasi cha kuweza kumuita mchezaji wa msimu mpaka hapa tulipofikia.
Kwangu mimi bila kupepesa macho wala kutikisa masikio, Robert Lewandowski ndiye mchezaji bora wa msimu mpaka kufikia sasa. Goli 31 katika michezo 26 sio jambo la kubeza. Nadiriki kusema jamaa haimbwi sana ila ana uwezo wa juu sana.
Kwako wewe, mchezaji wako bora so far ni yupi?
Msimu unaisha May mwakani
Swali unazungumzia MCHEZAJI BORA au MFUNGAJI BORA
uchezaji bora sio kufunga tu magoli
Robert Lewa Ndoo ya Whiskey