Yupi ni Mchezaji unayemkubali zaidi kutoka nchini Uholanzi?

Nasikia Netherlands 2002(world cup) walishindwa kufuzu...na mwaka 1998 walifika mpaka semi-final.

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
Frank deboa and ronald deboa hao n mapacha...kuna mmoja aliwapandisha wenzake ndege kwa kukosa penalty ilikuwa semi-final Brazil vs Netherlands mwaka 1998(world cup)

Sent from my SM-A260F using JamiiForums mobile app
 
VAN NISTERLOOY
VAN DER SAR
VAN PERSIE
DEPAY
VAN DE BEEK
 
Babu asiyechuja, kuanzia Chelsea mpaka Bayern anawachapa tu, ROBBEN
 
Ajabu sana hawajawahi shinda world cup
Huku wafaransa wamechukua mara 2
Huko kwingine napo palikuwa na miamba zaidi ya kutwaa euro 1988 na kuingia fainali ya kombe la dunia mwaka 1974 wakitolewa na ujerumani na mwaka 1978 wakitolewa na Argentina na hii ya juzi kati hawana mafanikio mengine.
 
V. Persie, Van Niesteroy,Sneidjer,Van de Beek,Van der Sir
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…