Yupi ni Mchezaji unayemkubali zaidi kutoka nchini Uholanzi?

Kwamba unamaanisha Maco Van Basteen ni bora kuliko muasisi wa soka lau The Great Johan au?

Hii ni sawa na kusema Messi ndio mchezaji bora wa muda wote nchini Argentina kisa tu ana Golden balls sita
'In 2004, a poll for the 100 greatest Dutch people was held in the Netherlands: Van Basten ranked number 25, the second highest for a football player, behind Johan Cruyff. In 2007, Sky Sports ranked Van Basten first on its list of great athletes who had their careers cut short.'
Sce: Wikipedia

Opinion always differs
 

"opinions always differ"

Regardless, siku zote Johan Cruyff will always come first,

Wewe mtu mpaka uwanja wao wa taifa umekuwa named after jina lake na bado pia kuna michuano inaitwa jina lake ambayo mpaka timu za ligi kuu zinashiriki sio kitu kidogo hicho.
 
Mzee kipara A. Roben moja ya wachezaji bora kupata kuwashuhudia, japokuwa yuko underrated sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…