Yupi ni Rafiki wa kweli?

nicreese09

Member
Joined
Apr 19, 2011
Posts
5
Reaction score
1
nisaidieni mwenzenu kwani cjui yupi ni rafiki wa kweli kwangu,je rafiki wa kweli anavigezo gani?
 
Mkweli, anakuambia ukweli kwa jambo unalolifanya hata kama hutaku kusikiliza, anakushauri pale ambapo huna uwezo kwa jambo fulani.. Na anayaheshimu mawazo yako, na kukusikiliza halafu anaweza kukupa ushaur kuhusu jambo ulilokuwa unaongea, au akaona ni zuri na kukubaliana na wazo lako. Hizo ni baadhi tu ya sifa zipo nyingi.
 
soma 1 corinthians 13: 4-8. inaukweli mkubwa ndani yake:
"Love is patient, love is kind. It does not envy, it does not boast, it is not proud.

It is not rude, it is not self-seeking, it is not easily angered, it keeps no record of wrongs.

Love does not delight in evil but rejoices with the truth.

It always protects, always trusts, always hopes, always perseveres.

Love never fails. But where there are prophecies, they will cease; where there are tongues, they will be stilled; where there is knowledge, it will pass away."
 

Done,...hakuna ubishi tena na topic ime fungwa
 
nisaidieni mwenzenu kwani cjui yupi ni rafiki wa kweli kwangu,je rafiki wa kweli anavigezo gani?

Kwa dunia ya sasa rafiki wa kweli ni mama yako, mwanao,kaka*, dada*,baba**
wengine wote wasanii

* = kuna weza kukawa na competition kati yenu so nao tunawapa 99.9%
**= anaweza akawa ana doubt kama wewe ni mwanae so nae tunampa 99.9%
 
Rafiki wa kweli ni Yesu tu!!!

ndiye mwenye sifa zote za kuwa rafiki kwani ukitaka ushauri yy ni mshauri wa ajabu, ukikosa njia anasema yy ni njia ya kweli na uzima, ukikosa chakula anasema yy ni mkate wa uzima, ukikosa viatu anasema mimi ni kiatu wakati wa safari yako ya jagwani!! ukikosa pa kuishi anasema yy ni hema ya kukutania na mengine mengi........

ni rafiki gani tena unayemtaka ww ndugu????????????????? huwezi kupata rafiki mwenye sifa kama hizi
 
Wakiume=anakupeleka shopping nakutumia fedha zake..
wakike= mmmmhhhh. Always have your back..
 
A true friend is the one who will not tell u 'call me if u need me' but will be there with u always in such a way tht u will never feel the need to call him/her....
 
True friends ain't easy to identify maana mwisho wa mahusiano wengi huwa rafiki zetu kwasababu tunavitu fulanifulani ambavyo huzineemesha nafsi zao.
 
Na mm nimejisikia niongelee
huo huo urafiki lkn
nitatoka nje ya topic
kwani sitoongelea ila
nina machache tu
kuhusu kuuhendle huo
urafiki.
Unaweza kuwa na rafiki
lakini hata kama
mmekuwa pamoja kwa
muda mrefu na kuzoeana
sana, lkn inabidi upunguze
urafiki wako kwa yule
unaemuhisi
anakuletea matatizo au
ukiendelea kumueka ktk ukaribu ule ule kama wa
mwanzo huenda
urafiki wenu ukaharibika.
Unatakiwa kufanya
mabadiliko kidogo kidogo
kulingana na mabadiliko ya mtu anavyokuweka/anavyokufanyia. Hapa nina maana kuwa,
kama yanatokezea
matatizo yanayosababishwa
na urafiki, basi jaribu kuepukana na urafiki wa
mtu huyo. Na kama itashindikana basi angalau
uupunguze tu. Nadhani kwa
kufanya hivyo kuna mengi
yanaweza kukuepuka pale
urafiki unapoyumba.
(kuwa tofauti kulingana na utofauti wa watu)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…