Elections 2015 Yupi ni Ripota Bora wa Habari za Uchaguzi (Kampeni)??

comment 13 wanasema Spencer, mshirikina mmoja unasema Buhohela, haya wacha niendelee kuhesabu hizi kura na tarehe 25 mwendo ni huu huu.

Mkuu mbavu zangu !!!. Kweli ITV wametutoa mrisi. Hivi tungeingia uchaguzi na TBC & Star tv peke yao waTz situngelishwa sumu ya kijani peke yake.

Hongera Spencer
 
Spence lameck lakini nawaonea huruma ccm tunawaburuza au wanaccm ni wale wasioenda shule nn watumii mitandao pia tatizo lao wanaungwa mkono na watu wenye upeo mdogo
 

Mchumia tumbo tu huyo, fisadi kuiona ikulu ni ndoto ni kama mzinzi kuona ufalme wa Mungu, mtampambaa lkn muda utasema ukweli.
 
S lameck yani nackilizaga tuu kipande cha kampeni za ukawa na hashim rungwe plus habar za kimataifa
 
Mwanzoni alikuwepo Asraji Mvungi. Sijui alikula maharage ya wapi huyu?!!! nadhani alikuwa kwenye mission baada ya kunyweshwa maji ya bendera ya kijani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…