Yupo atakayenifaa humu

al-baajun

JF-Expert Member
Joined
Sep 11, 2015
Posts
283
Reaction score
209
Habari zenu
Ni kijana wa miaka 26 anamtafuta that one lady,my queen,la'azizi kitulizo cha moyo wangu.baada ya kukaa mda mrefu bila mahusiano yoyote kutokana na maswahibu mbalimbali ya kimaisha,hatimaye leo hii nimekuja kwenu humu kwenye hili jukwaa mahususi kujaribu kumtafute yulee.

KUHUSU MIMI
umri:26
Elimu:chuo

Kazi:nimejiajiri

Sifa nyingine:sina gubu wala sipendi kujikera wala kukera mtu,mchapakazi,mkweli,mcheshi na muaminifu.

Muonekano:i look good

Kwanini natafuta mpenzi sasa iv?
Sababu maisha ya usingo mazuri ila upweke unakua hauchezi mbali na wewe,sometime unatafuta hata mtu kukuhug tight na kukupa moyo alafu unakosa.

Sifa za huyoo nimtafutaye
Awe na elimu form 4 na zaidi
Asiwe mtu wa tamaa,kuiga iga,tabia za kihuni huni na kishamba.
Awe muelewa na mwenye maono mapana.
Akiwa na kazi fresh asipokua na kazi pia poa.
Asiwe mnene sana
Nipm.

Maasalam
 
ungeweka na picha yako kabisa tujiridhishe kabla atujaenda pm
 
Mungu akufanyie wepesi mkuu akupe wa kufanana na wewe

Hivi mwenye gubu anajijua kweli kama hana gubu [emoji848]
[emoji43][emoji43][emoji43][emoji43][emoji43][emoji43][emoji43][emoji43] mie sina gubu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
[emoji43][emoji43][emoji43][emoji43][emoji43][emoji43][emoji43][emoji43] mie sina gubu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Na wewe pia unajijua huna gubu mkuu
 
kuna dada anapita pitaga huku ntamwonyesha hii thread...
 
Umejiajirije?! Muwe mnafafanua vizuri. [emoji849]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…