Yupo ICU

Street brain

JF-Expert Member
Joined
Oct 24, 2022
Posts
584
Reaction score
767
Sometime mpunguze mazoea na watu ambao hawajawazoea na ambaye huna utani naye,,,,, tu***k them all..
Leo nipo zangu narefresh mind kutokana na kuyashangaza macho maajabu ya Mungu mtaani ghafla nasikia mtu ananiita tena yuko serious Na weusi wangu huu nakatisha sehemu limtu linakzana liko bize kuniita eti we whaitii we whaitii wewe nimerudi nyuma nimemtia bonge moja la ngumi nadhani yuko ICU sasa hivi 😏😏
 
duh white sio poa utakuja kuua white...
 
Huyo ungeniita na mwanao sana hapa wa baba mmoja ili tumnyooshe...
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Sasaa utaki tukuita white mkuu .wkt u white wako anauona mwitajii..πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Sasaa utaki tukuita white mkuu .wkt u white wako anauona mwitajii..πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Daaaah kuna wana mimi nitakuja kuwavunja shingo myself najijua ni black kinoma ila sasa mambo ya kuniita sijui mchina au white
 
🀣🀣🀣🀣🀣ila
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…