Haiwezi kuwa picha ya kushoto maana vizazi vya mbeleni huko vikija kuambiwa huyu alikuwa mchezaji wa mpira wa miguu kwa jinsi alivyovaa hivyo hawatoamini watahisi pengine alikuwaga msanii/mwanamuziki.Kushoto
Kwa hiyo kulia siyo?Haiwezi kuwa picha ya kushoto maana vizazi vya mbeleni huko vikija kuambiwa huyu alikuwa mchezaji wa mpira wa miguu kwa jinsi alivyovaa hivyo hawatoamini watahisi pengine alikuwaga msanii/mwanamuziki.