Madikizela
JF-Expert Member
- Jul 4, 2009
- 679
- 450
Hapa JamiiForums nilisoma shairi moja linasema "kunde mmempa wenyewe akijamba mwalalamika, acheni ajambe asafise tumbo".
Shairi hili lina mantiki kubwa sana ndiyo maana walikuwapo wa kumkamata maxence lakini hakuna wa kumfunga.
Basi niishie hapo nakwenda msikitini.
Shairi hili lina mantiki kubwa sana ndiyo maana walikuwapo wa kumkamata maxence lakini hakuna wa kumfunga.
Basi niishie hapo nakwenda msikitini.