Rockcity native
JF-Expert Member
- Dec 31, 2012
- 2,174
- 1,445
Vipindi vya Channel 5
1.Holla
2.Back 2 Back -hapa alikuwepo TK na Ben
3. 5 Grooves
4.Top 10
5.101
Alafu kulikuwa na kipindi cha Baabkubwa pia.... Old Channel 5 ilikuwa hot sana.
Babkubwa ndio kilikuwa cha Adam Mubago
Je yule dada wa 5 Grooves aliye act na tid kwenye siamini yupo wapi?
He kumbe wewe mdg sana?Owkey hata simkumbuki maana enz hizo i was primary kid...
Huyu jamaa alikua bonge la mtangazaji wa kipindi cha mahojiano ya wasanii wa bongo fleva enzi hizo chanel 5 inaanza kurusha matangazo yake baada ya kubadili jina toka ITV 2.
Kwa anaejua jamaa yupo wapi sahivi akitangaza atujuze.
He kumbe wewe mdg sana?
Mukiiiiiiiiii!huyu mchizi yupo kinondoni manyanya amepanga next to full stop bar!alivyoacha kutangaza alienda U.K amerudi bongo yupo na manzi mmoja anaishi nae sina uhakika kama amemuoa!...kibongobongo mchizi anaishi maisha poa!.....kwa wanafunzi wa mary mary ukimkumbuka adamu mubago basi utamkumbuka na Garnet Mkurasi Kaijage
Umeona ee saizi wanatuletea pumba tu wasipokuwa makini wataachwa na Tv1Alafu kulikuwa na kipindi cha Baabkubwa pia.... Old Channel 5 ilikuwa hot sana.
Adam mubago...nimesoma naye aza boy ..Aza pound.
Kipaji Halisi. ! namie nilikuwepo kwa kwayu.
hahahahhaa..umeona ..Mchwampaka..Yengela..a.k.a Tokyo..salum salum...Mkongo.(walimu)Duh ....kumbe watoto wa Mchwampaka tupo wengi
Vipindi vya Channel 5
1. Holla
2. Back 2 Back -hapa alikuwepo TK na Ben
3. 5 Grooves
4. Top 10
5. 101
hahahahhaa..umeona ..mchwampaka..yengela..a.k.a tokyo..salum salum...mkongo.(walimu)
mdudu..aliko...askofu..( mandundu hayo)