Yupo wapi Adamu Mubago wa 5 celebity ya channel 5?

kulikuwa na handsome mwingine kipindi one to one sijui Jina
 
Duh ....kumbe watoto wa Mchwampaka tupo wengi

Na Tokyo yule aliyekuwa anavaa sutuali za tokyo muda wote anatembea na fimbo.mchww r.i.p . Huyo mubago alikua anapenda sana mademu muda wote anashinda jangwani..matokeo yake ya f4 hayakushangaza wengi
 
hahahahhaa..umeona ..Mchwampaka..Yengela..a.k.a Tokyo..salum salum...Mkongo.(walimu)

mdudu..aliko...askofu..( mandundu hayo)

nyie mtakuwa mmesoma miaka ya 1998. mdudu alikuwa classmate class P. askofu yupo kibamba. mmenikumbusha mbali sana duh
 
watoe neno EATV ibaki CHANNEL 5 hapo itakuwa vizuri na itarudisha makali yake ya mwanzo
 
nyie mtakuwa mmesoma miaka ya 1998. mdudu alikuwa classmate class P. askofu yupo kibamba. mmenikumbusha mbali sana duh

Class P Na shafi dauda? Na yule maneno mengi maulidi?? Ngoja ninyamaze hizi id zinaficha mengi.mdudu kuna kipindi alikuwa kama mzungu wa unga hapa mjini..
 
Class P Na shafi dauda? Na yule maneno mengi maulidi?? Ngoja ninyamaze hizi id zinaficha mengi.mdudu kuna kipindi alikuwa kama mzungu wa unga hapa mjini..

yah that class na form one tulichukua kombe kwenye mpira. duh its almost twenty years now
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…