Yupo wapi Andrew Chenge?

Uponyaji na uzima

JF-Expert Member
Joined
Jul 9, 2015
Posts
666
Reaction score
1,255
Sijamsikia siku za hivi karibuni huyu mbunge, mwanasheria mkuu na mwenyekiti wa bunge mstaafu.

Kwakweli nakuwa nervous kiasi maana huyu akikaa kimya basi ujue kuna kinachoendelea huko.

Kipindi hiki watu wanarudi zao tutashangaa tu tushapigwa tukio.
 
Utasikia hela ya ruzuku ya mafuta iliyokuwa kwenye hazina imepotea
Halafu huyu gwiji haachagi incriminating evidence behind..
 
Sijamsikia siku za hivi karibuni huyu mbunge, mwanasheria mkuu na mwenyekiti wa bunge mstaafu.

Kwakweli nakuwa nervous kiasi maana huyu akikaa kimya basi ujue kuna kinachoendelea huko.

Kipindi hiki watu wanarudi zao tutashangaa tu tushapigwa tukio.

Huyu si kagombea u Spika juzi? Kulikoni kumuotea nyoka wa makengeza?
 
Yule mzee anataka kizazi chake chote kidumu kwenye utajiri wa milele. Ukiona watoto wake wanavyoishi kwa anasa huko Dubai huwezi kuamini.
Watakosaje kuishi kwa anasa na baba yao ameiba fedha yote ameificha DUBAI!!! Ndio kisa cha kuogopa katiba mpya kwani yaliyompata Zuma kule bondeni na yeye yangempata !!! Anafikiri wabongo wajinga hawajui kuwa ananyumba amenunua huko Dubai!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…