Yupo wapi Askofu Zacharia Kakobe?

Popo-

JF-Expert Member
Joined
Jan 21, 2022
Posts
282
Reaction score
578
Habari zenu nyote!

Kama kichwa cha habari kilivyouliza, naendelea kuuliza yuko Baba yetu, jasiri aliyekemea dhambi bila kificho na kujitengenezea maadui wengi kwa kuupigania Ukristo na utakatifu?

Mara ya mwisho alionekana akiwa na mpendwa wetu aliyetutoka late rais Magufuri. Baada ya hapo hajaonekana tena.

Injili ya kanisa imepoa sana, despite kuwa na wingi wa matukio lakini ukimya wake ni pigo kubwa kwa injili Tanzania na duniani kote.

Mimi si muumini wake, lakini injili yake nimekuwa naiishi na imenileta karibu zaidi na Mungu kwa miaka mingi sana.

Tafadhari kwa wema kabisa, tujuzane alipo Askofu wetu huyu.

Ahsante.
 
Alishapata hela za kutosha toka kwa waumin wake wasiojitambua, sasa anaishi kwa raha zake mwenyewe akisomesha wanawe kwa hela alizokuwa anapewa na mazezeta wake.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…