Mhafidhina07
JF-Expert Member
- Aug 1, 2014
- 3,340
- 4,659
Mshana Jr unaitwa huku Mkuu....Ni miezi takribani 2 sijaona andiko lolote kutoka kwa Mshana vipi,mwenye taarifa atugaie.
huyu mtu tunaye au hatunaye?
kuna kipindi alikuwa anatafuta mtu wa kumpa mikoba
Level 2 au level 1??
Yaan wewe kwa hii comment yako hauna tofauti na MAFARISAYO wa zamani wale walio mtesa masiya wa bwana😊😊Moja kati ya watu ninaowadharau hapa jf kwasababu ya uzushi na undumilakuwili wake.
Bro kwa mshana, umemkosea sana. Sisi tunayemjua nje ya JF hana hayo mambo. Dah, nimejisikia vibaya.Moja kati ya watu ninaowadharau hapa jf kwasababu ya uzushi na undumilakuwili wake.
We mswahili, sipo hapa kukufanya ujisikie vizuri.Huyo kiumbe ni mzushi,plagiarist na ndumilakuwili.Wewe kumjua nje ya jf haibadilishi ukweli huu.Bro kwa mshana, umemkosea sana. Sisi tunayemjua nje ya JF hana hayo mambo. Dah, nimejisikia vibaya.
Mshana mbona mtu poa mkuu?Moja kati ya watu ninaowadharau hapa jf kwasababu ya uzushi na undumilakuwili wake.
Hata Hitler ambaye mabilion ya watu wanamchukia kwangu ni mtu poa sana.Mshana mbona mtu poa mkuu?
Haya hongera kwa kuonesha uchi wa akili yako. ByeeeeeeeWe mswahili, sipo hapa kukufanya ujisikie vizuri.Huyo kiumbe ni mzushi,plagiarist na ndumilakuwili.Wewe kumjua nje ya jf haibadilishi ukweli huu.