Yupo wapi Bishanga Bashaija?

Yupo wapi Bishanga Bashaija?

MstahikiMeya

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2014
Posts
1,633
Reaction score
560
Yupo wapi huyu jamaa maana nilikuwa naangalia hapa mchezo wao yupo Waridi,Natasha,Monalisa.

Rich Richie anatoka na Monalisa huku anapiga Waridi alafu JB mkewe Natasha.
 
Anaitwa Raymond Allen Mwandemele, nyumbani kwao ni Mwenge na ndipo alipokulia...

Ukitaka mtafuta anzia hapo kwao kwanza, na kwa sasa hafanyi tena hii mambo ya maigizo kwa luninga...
 
Dah huyu jamaa nikuwa namkubali sana. Kwa sasa anajishughulisha na nn
 
''Fani ni fani muulize Bishanga Bashaija,Sanaa ya Bongo kwa Wasanii haina faida,ona wenzetu Mamtoni mambo safi Kuku kwa mrija'' By Prof Jay.
 
Namkumbuka akiwa prof alivyojitetea kwa mkewe kuwa alitekwa (kumbe alikuwa amechepuka) na kufungiwa bafuni na kuibiwa kila kitu hadi akaazimwa suruali na receptionist, umenikumbusha mbali kwakweli
 
Mkuu huo mchezo umerushwa na ITV leo au kituo gani? Bishanga ni fundi makenika kwa sasa nadhani yupo gereji za magomeni nakumbuka ashawahi kuhojiwa alisema yeye ni fundi mekanika ila sio ile mekanika unayohijua wewe ya magari hapana ni ile ya Mechanics Engineer.
 
Enzi hizo tamthilia za bongo zilipendwa sana sio sasa filipino na Mexico imetawala majumbani.
 
Waridi naye yuko wapi jamani?
 
Kweli umenikumbusha mbali sana duu sjui kapotelea wapi
 
Yaani hawa ndio walikuwa waigizaji mtu uanuvaa uhalisia yaani bishanga du labda muanzishe kampeni ya kumrudisha sio sasa hivi michezo huwezi kutazama na mkweo na nyama yao yuko wapi jamani
 
Yupo wapi huyu jamaa maana nilikuwa naangalia hapa mchezo wao yupo Waridi,Natasha,Monalisa.

Rich Richie anatoka na Monalisa huku anapiga Waridi alafu JB mkewe Natasha.
Hii combi kwenye kuigiza ni bomba sana.Awepo Bishanga na mzee Maro sasa...............hubanduki hata kama nyumba inaungua! Kwa kweli Bishanga sijamsikiaga sijui kaishia wapi.
 
Yupo wapi huyu jamaa maana nilikuwa naangalia hapa mchezo wao yupo Waridi,Natasha,Monalisa.

Rich Richie anatoka na Monalisa huku anapiga Waridi alafu JB mkewe Natasha.

Jamaa yupo kahama gold mine ameajiliwa kule
 
Long tym sana wakubwa yan kipindi kile tulikua hatujui mambo ya tamthilia za kifilipino ila sasa hivi maisha ndio yamebadilika,kutokana na nchi yetu hatuna tamthilia za maana na ndio mana tunathamini vya nje.

Kipindi hicho kuna kina Max n Zembwela,Bambo na Kingwendu,Sumbi na Bocha,Mpoki n Joti yan kwel Sugu alisema hapo zaman mambo yalikua freshhhh
 
mm nikwonaga uwoya...wolper..ant ezekiel..nazima tv..i hate them kwakweli.mwanavaa hovyoooo
 
mambo hayo...alikuwepo Aisha, Waridi, Richie na Bishanga bashaija mtambo kama roho.
 
kwanza jtatu tu ikifka mawazo yote igizo la mambo hayo. tunawamiss sana
 
Back
Top Bottom