MstahikiMeya
JF-Expert Member
- Jan 8, 2014
- 1,633
- 560
Hii combi kwenye kuigiza ni bomba sana.Awepo Bishanga na mzee Maro sasa...............hubanduki hata kama nyumba inaungua! Kwa kweli Bishanga sijamsikiaga sijui kaishia wapi.Yupo wapi huyu jamaa maana nilikuwa naangalia hapa mchezo wao yupo Waridi,Natasha,Monalisa.
Rich Richie anatoka na Monalisa huku anapiga Waridi alafu JB mkewe Natasha.
Yupo wapi huyu jamaa maana nilikuwa naangalia hapa mchezo wao yupo Waridi,Natasha,Monalisa.
Rich Richie anatoka na Monalisa huku anapiga Waridi alafu JB mkewe Natasha.
Waridi naye yuko wapi jamani?
alishangazaga sana alipojitangaza ni muathirika kumbe muongo
alishangazaga sana alipojitangaza ni muathirika kumbe muongo