Maalim Raphael
Member
- Nov 23, 2018
- 94
- 202
Wakuu habari zenu.
Bila kupoteza muda, naomba anayefahamu alipo msanii wa zamani wa Ubongo fuleva "DAZ P" anijuze alipo.
Huyu jamaa aliwahi kuvuma miaka ya 2000 na kibao chake "Kama unataka kuja Home". Nakumbuka 2004 jamaa walipiga shoo maskani Gairo akiwa na Temba,nami nikiwa dogo janja wa kipindi hicho,niliwapokea na kuwatembeza mitaa ya Gairo.
Kuanzia hapo sijasikia tena habari wala new track ya muhuni DAZ P. Basi anayefahamu wasifu wake na mahali alipo kwa sasa anijuze.
Nawasilisha