Yupo wapi DAZ P?

Joined
Nov 23, 2018
Posts
94
Reaction score
202
Wakuu habari zenu.

Bila kupoteza muda, naomba anayefahamu alipo msanii wa zamani wa Ubongo fuleva "DAZ P" anijuze alipo.

Huyu jamaa aliwahi kuvuma miaka ya 2000 na kibao chake "Kama unataka kuja Home". Nakumbuka 2004 jamaa walipiga shoo maskani Gairo akiwa na Temba,nami nikiwa dogo janja wa kipindi hicho,niliwapokea na kuwatembeza mitaa ya Gairo.

Kuanzia hapo sijasikia tena habari wala new track ya muhuni DAZ P. Basi anayefahamu wasifu wake na mahali alipo kwa sasa anijuze.

Nawasilisha
 
Bwana Mkubwa aka Daz P ,Manduli Mobb kama unataka kuja home ,way back 2000s.
 
Hiyo track kipindi inabang ulikuwa tayari una ufahamu kamili au ulikuwa huju hata utaenda kuishi sayari ipi??

.Kale magimbi we mpogoro!!.. watu tumezaliwa na kukulia kwenye bongo flava kitambo.. unaongea nini wewe?? ushakula mahindi ya kuchoma na ndizi mtwike hapo msamvu unajiona mjaaaanja mwenyewe!
 
Bwana Mkubwa aka Daz P ,Manduli Mobb kama unataka kuja home ,way back 2000s.
Mkuu umenikumbusha mbali sana kipind hcho JITEGEMEE SEC Miaka ya 2000 hawa jamaa walisumbua sana wazee wa "Maskin Jeur "
 
Daz P yupo anafanya mishe zake kama kawa ni class mate pale jite wute yeye pamoja na temba...Daz P,Temba na Mr Vapor ndo walikua waanzilish wa kundi la Manduli Mob hata nature aliwah kaa kwa muda wakat huo akiwa anasoma pale Nuru yakeen(sijui kama nimetamka kwa ufasaha) nature akiwa bado haja settle hana kundi ndo wakatoa nyimbo kama JESHI KAMILI,maskini jeur...
 
.Kale magimbi we mpogoro!!.. watu tumezaliwa na kukulia kwenye bongo flava kitambo.. unaongea nini wewe?? ushakula mahindi ya kuchoma na ndizi mtwike hapo msamvu unajiona mjaaaanja mwenyewe!


Mkuu mbona unaharibu thread? Wengine tunafualia story kwa makini.
 
Manduli mobb- Mh temba, Daz baba, Daz P Hawa ndo walikua waanzilishi wa kundi
Wote walikutana jiteute...,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…