Yupo wapi dr. Rick mchambuzi mahili wa soka

ibesa mau

JF-Expert Member
Joined
Sep 17, 2015
Posts
2,109
Reaction score
1,697
Jana wakati tupo ukumbini tanaangalia game ya europa kati ya Italy na Germany ghafla ulianza mjadala wa kumsifia huyo dr. Rick kila mtu akitaka kujua alipo hivi sasa na kama bado anajihusisha na masuala ya uchambuzi.
 
Siiaona wa kumfikia huyo dr. hivi sasa
 
Dr. Rick Abdallah, mtanzania wa kwanza kuingia SANTIAGO BERNABEU, kuangalia UEFA CHAMPIONS LEAGUE FINAL, tena kwa kutumia pesa yake ya mfukoni.
 
Ana ka pub kake hapo dar, nadhani ndo ana shinda hapo ofisini kwake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…