Yupo wapi Ezekiel Malongo aliyekuwa RTD kipindi hicho?

G_crisis

JF-Expert Member
Joined
Jun 19, 2011
Posts
723
Reaction score
247
Kwangu binafsi ni mtangazaji niliyekuwa namkubali mno kipindi hicho alipokuwa redio Tanzania Dar es salaam na sasa ni TBC.
Alikuwa akinivutia mno hasa wakati wa matangazo ya mpira wa miguu aka 'kabumbu' na matangazo mengine ya kibiashara.
Kwa mwenye taarifa zake atujuze tafadhali,

Mkuu, huyu jamaa alikuwa na kipaji cha utangazaji. Akitangaza mpira usiombe timu unayoipenda ikawa inashambuliwa... atakuweka roho juu kama utumbo buchani.

Kwenye kutangaza habari walikuwapo wakina Bujaga Izengo Kadago na Fauziat Ismail Aboud.

ni kweli mkuu huyu hakuvamia fani alikuwa na kipaji cha pekee kabisa,sijui alielekea wapi huyu?

Duh kweli jamaa sijui yuko wapi? nakumbuka wakati anatangaza matangazo ya kombe la dunia 2002, ilikuwa ni noma yaani utafikiri unaangalia live.

RTD ilikuwa na watangazaj wa ukwel akina Halima Mchuka,Juma Nkamia

Duh kweli jamaa sijui yuko wapi? nakumbuka wakati anatangaza matangazo ya kombe la dunia 2002, ilikuwa ni noma yaani utafikiri unaangalia live.

alikuwa na mbwembwe mno kwenye utangazi,nilikuwa nikimsiliza sitaki kutumwa popote!

RTD ilikuwa na watangazaj wa ukwel akina Halima Mchuka,Juma Nkamia

ilikuwa na presenter wenye vipaji sio wa hawa wa kubabaisha sasa hivi.

Jamani!! Jamani!!
Tuambie, Malongo yuko wapi? Halafu tutawaulizia wengine maana list ni ndefu.

Jamani!! Jamani!!

Tuambie, Malongo yuko wapi? Halafu tutawaulizia wengine maana list ni ndefu.

malongo yuko kwao mbulu longtime ile fan ilimshinda coz alikuwa na mambo yake ya ajabu ajabu,alikuwa anagonga mtungi mby mpk sometime anaharibu kaz then jamaa ni mruka sarakas mzur sana,so ameamua ku2tulia huko kwao mbulu

oh my God!kumbe ndo alivyopotea kweli ulevi nomaaaaa!!

malongo yuko kwao mbulu longtime ile fan ilimshinda coz alikuwa na mambo yake ya ajabu ajabu,alikuwa anagonga mtungi mby mpk sometime anaharibu kaz then jamaa ni mruka sarakas mzur sana,so ameamua ku2tulia huko kwao mbulu

Sarakasi kwa maana ya acrobats mkuu au una maana nyingine? Nijuze.Maana kiswahili mh...

kweli huyu mtangazi huyu yuko wapi

Jamaa alikuwa anakata Tungi kuliko Mamba! Alipelekwa Mwanza kwenda kutangaza RFA kwa ndege, akauchapa usingizi ndani ya ndege kwa pombe walizokuwa wanapewa abiria, mtu aliyekuja kumpokea akarudi bila kumwona. Na kwa kuwa wahudumu wa ndege zetu hawako makini wakamstukia wakati ndege inarudi Dar ameuchapa usingizi. Ndipo ukawa mwisho wake. Alikuwa anapatikana maeneo ya Posta akipiga mizinga mpaka ya Mia tano. Pia alishajiingiza kwenye utapeli. Inasikitisha sana kupoteza kipaji kwa ulevi.

Ulevi ni nouma!

Hapa kuna dizaini fulani ya uwongo, hii stori yako ingekuwa ni daladala ambayo wanachukua nauli humo humo ningeikubali.

RTD ilikuwa na watangazaj wa ukwel akina Halima Mchuka,Juma Nkamia

Daa, huyu dada naye alikuwa ni mzuri sana hasa kwenye matangazo ya mpira wa miguu.

Nasikia alipatwa na ugonjwa wa kiarusi kwa muda mrefu sana (miaka kadhaa) ila nasikia kwasasa hajambo na ameanza-anza tena kwenda kazini. Namuombea MUNGU amponye haraka ili aanze tena kutupa burudani!

Kumbe ndo ilivyokuwa,imenisikitisha sana

Pamoja na yote hayo yote, kuna kipindi nilisikia Malongo ni mwanafunzi wa SAUT Mwanza . Hata hivyo anaweza kuwa yuko Dar kwani niliwahi kumuona kwenye kipindi cha Sport kizazaa.

Acha mambo yako ya uwongo humu jamvini! Mijitu mingine inajitakiaga BAN humu ndani. Acha ulazi wewe! Malongo anafanya kazi radio moja jijini Mwanza.

Acha mambo yako ya uwongo humu jamvini! Mijitu mingine inajitakiaga BAN humu ndani. Acha ulazi wewe! Malongo anafanya kazi radio moja jijini Mwanza.

tuweke wazi mkuu ni redio gani hiyo?

Acha mambo yako ya uwongo humu jamvini! Mijitu mingine inajitakiaga
BAN humu ndani.🙂.w Acha ulazi wewe! Malongo anafanya kazi radio moja jijini Mwanza.

we ndo unahitaji ban coz kumbe hata redio anayoitangazia hujui itaje sasa! Ebo we vp?

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…