kifimbocheza_
JF-Expert Member
- Jul 14, 2017
- 1,119
- 1,095
Kama ulikuwepo kipindi bongo flava ndo inaanza kushika hatamu kukita mizizi bongo basi utakuwa unakikumbuka kipindi maarufu cha bonga na startv kikihostiwa na na mwanadada mrembo maarufu kipindi icho akienda kwa jina la Fatuma Shemweta, nina mda sana sijamsikia, je yupo wapi mwenye kujua zaid anijuze habari za huyu mrembo.