Yupo wapi Fatuma Shemweta

kifimbocheza_

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2017
Posts
1,119
Reaction score
1,095
Kama ulikuwepo kipindi bongo flava ndo inaanza kushika hatamu kukita mizizi bongo basi utakuwa unakikumbuka kipindi maarufu cha bonga na startv kikihostiwa na na mwanadada mrembo maarufu kipindi icho akienda kwa jina la Fatuma Shemweta, nina mda sana sijamsikia, je yupo wapi mwenye kujua zaid anijuze habari za huyu mrembo.
 
daaa,kitambo saana
 
Alikuwa mzuri sana, nakumbuka nilikuwa mdogo enzi hizo lakini nilikuwa najisikia kitu flan hivi nikimuona[emoji7] [emoji7] [emoji7] [emoji8] [emoji8]
 
Uyo mdada nilikuwa naye arusha mwaka 2014 akiishi nyumba za aicc kijenge. Atakaye muona amwambie natafuta pia
 
Ndiyo kaka, huyo huyo. Japo sijakutana na tv yake kitambo sana.

Mie mzima kakangu, namshukuru Mungu ananipa Nguvu ya kuendelea kupambana na hali yangu. Tumepotezana, natumaini u mzima pia.
You mean Sauda Mwilima.
Right?

BTW Mzima wewe mdada?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…