Yupo wapi Frank Mgoyo

Yupo wapi Frank Mgoyo

kwangu11

Member
Joined
Apr 5, 2012
Posts
32
Reaction score
10
Wadau huyu jamaa alikua mtu wa ku arange ma white party kwa sana,but nowadays simsikii,mwenye kujua anijuze.
 
Frank Mdoe au Frank Gonga au Machozi Boy? Kama huyo yupo sana mtafute FB.
 
.........Utawala huu si wa kujionyesha Onyesha kama ''HULIPI KODI'' yatakukuta MAMBO............
 
Jamaa anajutia kujiingiza kwenye yale mahusiano na kwa vile mwanamke alimzingua na kumtishia, yawezekana ikawa moja ya sababu ilopelekea akajipoteza.
CC: mange kimambi
 
Back
Top Bottom