Yupo wapi Gabriel Zacharia?

Yupo wapi Gabriel Zacharia?

Mmawia

JF-Expert Member
Joined
Aug 20, 2013
Posts
122,494
Reaction score
96,074
Aliudanganya ulimwengu kuwa Rais wa Marekani Trump kampongeza Magufuli.

Hakika imekuwa ni kipindi kirefu sijamsikia huyu mwamba ambaye alikuwa NI mtangazaji wa kituo cha television hapa nchini.

Naomba mwenye uelewa wa yupo wapi atujuze
 
Aliudanganya ulimwengu kuwa Rais wa Marekani Trump kampongeza Magufuli...
bila shaka yoyote,
anaweza kua Radio Tanzani, barabara ya nyerere karibu kabisa na daraja la mfugale....
 
Aliudanganya ulimwengu kuwa Rais wa Marekani Trump kampongeza Magufuli.

Hakika imekuwa ni kipindi kirefu sijamsikia huyu mwamba ambaye alikuwa NI mtangazaji wa kituo cha television hapa nchini.

Naomba mwenye uelewa wa yupo wapi atujuze
Kutokana na uongo huo alitunukiwa udc
 
Nilimwona anacover kwenye msiba wa Lowasa huko Ngarash. Yupo TBC
 
Alikuwa mkuu wa wilaya ya Busega toka 2021. Safari ya u-dc ilifika tamati tarehe 25 Januari 2023 pale Samia alipofanya mabadiliko madogo ya wakuu wa wilaya.

Wakuu wengine maarufu waliotemwa katika kipindi hicho ukiachana na Gabriel Zakaria, ni aliyewahi kuwa msemaji wa Deportivo Utopolo.
 
Back
Top Bottom