Mwakalinga Bujo
JF-Expert Member
- Oct 22, 2008
- 2,718
- 1,441
Gang Chomba Haa haa haa jamaa alikuwa anaweza sana ,alitia adabu sana waliokuwa wanajiona kuwa wao ndio wao kwa kuchafua chafua hali ya hewa...Hah hah haaah hako unakosema wewe Mkuu kaliitwa Nsia Swai...
Dah sio hako, ila haka ka kwangu hakakuwahi kuwa maarufu.
Picha ya Malecela Peter Lusinde naitafutia flemu ili niweze kuitundika Ofisini au Chumbani kwangu.
chante haswaaaaa...kuna picha niliona humu jamvini yupo kwenye show ya Diamond na Sinta ...alikuwa nanitwa NSIA
Unanifurahisha sana:laugh: I remember those "good" old days. Naona huyo mtoto alikuzingua sana na jamaa amekufanyia justice kwa niaba yako.laana zako na nani?
Yeyote aliyekwenda kinyume na maadili basi Guru Male alimrudisha kundini.
Popote ulipo Male fahamu kuwa una muumini anaitwa Gang Chomba.
Niko radhi kufika na wewe Karvali na hata kusulubiwa pamoja nawe.
Unanifurahisha sana:laugh: I remember those "good" old days. Naona huyo mtoto alikuzingua sana na jamaa amekufanyia justice kwa niaba yako.
Yupo umu,kasharudi kutoka NY.
Yupo umu,kasharudi kutoka NY.