kt the irreplaceable
JF-Expert Member
- Oct 12, 2017
- 2,375
- 4,893
Yondo sisterTshala mwana
Mbilia bell
Monica seka
Hawa wamama walikua wananikosha sana!
Tshala mwana
Mbilia bell
Monica seka
Hawa wamama walikua wananikosha sana!
Tshala mwana
Mbilia bell
Monica seka
Hawa wamama walikua wananikosha sana!
Ongezea;Tshala mwana
Mbilia bell
Monica seka
Hawa wamama walikua wananikosha sana!
Ile ngoma ya kokola inanikosha sanaTshala muana wa unapenda dezo dezo
[emoji23] [emoji23] [emoji23] yuko vizuri lakin hawa wamama wamemuacha mbali sanaaaOngezea;
Cindy wa Mopao, kizazi kipya huyu.
+ Baye, Adèba, Amio....monique seka wa kaman, na missounwa
Wakuu habari?
Nikiwa nakua miaka ya mwanzo ya 2000, nilikua nasikiliza sana music ya kikongo iliyokua inapendwa sana na uncle zangu. Na moja ya msanii niliyekua namkubali sana alikua bibie Tshala Muana...
Yupo wapi huyu? Kuna mtu anaweza kutufungua kidogo?
Yupo zake Kinshasa na wiki hii kapata msala wa kumuimba rais wa nchi ya Congo kimafumbo Yan aliimba "Ni mtu alietaka kila kitu na akapewa shida ikaja baada ya kupewa akapata kiburi na kuwadharau watu"Wakuu habari?