Yupo wapi huyu mtoto wa Idd Amini?

usinijibu hivyo

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2017
Posts
248
Reaction score
327
Mwaka 1972 Idd alimtembelea Mzee Kenyata Kenya alipotua uwanja wa ndege,Idd alishuka na mwanae mdogo na baada ya Mzee Kenyata kumpa mkono kumsalimia dogo alipiga salute...

Nani anajua wapo wapi watoto wa Idd na wanajipanga kufanya nini?

 
No alimuua kwa kumpiga risasi. Idd Amin Dadaa alimfundisha huyo dogo kutumia pistol, kwa kuwaua kuku na kupiga vitu Vingi vingi ili kumpa uhodari wa kutumia siraha.
Kuna siku alitoka kuoga, ghafla akakutana na dogo ameshika mguu wa Kuku na kumuambia mikono juu, ndipo alipomuomba aache huo mchezo. Baadae akaichukua na kumpiga nayo na kumuua moja kwa moja.
 
Punguza chumvi kidogo hakiliki
 
mkuu habari hii umeipata wapi
 
ohooo kumbe
 
Hata Mimi niliiona articles Fulani kumhusu huyo dogo wa zamani ni kwamba kutokana na tabia ya babu Amin kusikiliza sana waganga na tawire kama zote kuna mganga akamtabiria kua Luna mwanae atakuja kumpindua na kumuua Ili atawale yeye hapo ndipo akaamua ammalize nakumbuka hivyo
 
Ukosahihi kabisa.hakumchelewesha alivoirudisha mikononi mwake alimfumua bilakujali
 
Nakumbuka kama alikuwa Moses Amin?
 
Nakumbuka kama alikuwa Moses Amin?
Si kweli kwamba Amin alimuua mtoto wake,Jaffery Amin mtoto mwingine wa Amin anasema moses yupo na ana maisha yake huko France.

Na kwny hio interview ameeleza namna baba yao(Iddi Amin) alivyofanya mpango wa kuwaokoa watoto wake 10 akiwemo huyo Moses kutoka katika boarding school waliyokua wanasoma baada ya TPDF kuingia huko Uganda.

'While the world was convinced that Amin had a taste for human flesh, it wasn’t so, says Jaffar. What of Jaffar’s brother, Moses, who was allegedly killed and eaten by his father in 1974? He’s actually“alive and well in France,” according to Jaffar.'
 
Mi naskia jamaa alimtafuna mtoto wake.
Alimla mchemsho then kichwa akaweka kwenye freezer kwa matumizi ya baadae
 
Mi naskia jamaa alimtafuna mtoto wake.
Alimla mchemsho then kichwa akaweka kwenye freezer kwa matumizi ya baadae
Hakuna kitu kama hicho,zilikua Propaganda za vita zile.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…