Yupo wapi Innocent Sahani maarufu kama D Knob?

Nimeshashiba ugali, ngangali,
Wanaonijua siwajui natembea sina habari,
Wanadai Jos nawachunia washamba hao,
Naanzisha bifu wanachukia,
Mabaya ninayo, mazuri ninayo,
Ila kila Kona madhambi yangu kibao
 
Hii ngoma ilikua na Chorus kali kinoma! dah mziki huu haupo tena sasa hivi tuna Amapiano ama kweli zama zime badilika
 
We naye unakurupuka hujui unachoongea.
Umezaliwa juzi humjui mtu unashuzika kwenye thread

Hao watoto wa era ya kina dimond hawezi kujua kitu huyo D knob kamjulia wapi? John mjema wachumba 30 unadhani anawafahamu, kakuta complex kashafariki akina mabovu ndio kwanza hawajui watoto wa dollsouth, umuulize kama squeezer na keysha anawafahamu, au kama club alicheza ngoma ya kila mmoja anapendeza tishet na jinzi, au kama alitoa kiingilio kwenda kuangalia uzinduzi wa filamu ya girlfriend
 
LACK OF DISCPLINE... HII NI SABABU WATU PIA WANASHINDWA KUPIGA HATUA KWENYE LIFE.. HATA AMBAO SIO WASANII..
 
Enzi zile Forest ya zamani Kuna kijiwe kinaitwa MamaLand...aiseee ilikuwa noma Sana, ukisikia tu huuuuuuaaaaaa!!!!aiiiiiiih... Machizi wangu wa Mbeya Sec walikuwa wanamkubli Sana Mwamba
Mi pia kijana wa Mlelwa wa Mbeya Day enzi hizo kabla kutimkia mbele
 
Kuna vitu tunashindwa kufahamu kwamba Kama shughuli yako ya kupata ridhiki sio rasmi ni vema ukawa makini Sana ...pindi unapopata pesa hasa pesa Kama walizokuwa wakipata hao wasanii..ni lazima uwe una mindset ya kufocus mbali ...mfano kwa miaka hiyo wasanii wengi walikuwa wahitimu wa. Kidato Cha sita so walikuwa na chance za kujiendeleza but walijisahau ..mfano mwanafa mjanja alistuka mapema akaenda ifm..akirudi jioni anakaa maskani chaga bite makumbusho na wakina soggy doggy..ngwea .jaymoe ..Cha ajabu hawakushtuka kwanini mwenzao anakwenda kujiendeleza na anarudi maskani...wakati na wao ni form six Kama yeye matokeo yake mwanafa Yuko vizuri wenzake wanalia njaa...juzi Kati nilimuona ferooz mitaa ya sinza kwa Remy nilitaka kulia .. na pia nilimuona dark master wanatia huruma..solothang Naye alistuka mapema akaomba viza akaenda uingereza akabaki hukohuko..alijua mambo yatabadilika siku moja ndugu yangu jay moe kinachombeba nyumbani maisha mazuri anaishi sinza ndugu zake wote wako ulaya...fidq mjanja kajipendekeza kwa ay na Mambo yameanza kumnyokea...so hii muhimu hata kwa wasanii wa Sasa hivi...huwa nikimuona harmonize hakifanya fujo namuonea huruma Sana anapata pesa nyingi anazichezea na mademu wa kizungu siku moja atalia na kusaga meno...
 
Pesa ya mziki ni ngumu sana kuitunza japo wapo wachache wanaweza kuji control, msanii anajua kesho ata toa ngoma nyingine ita hit atapiga hela
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…