Yupo wapi Innocent Sahani maarufu kama D Knob?

 
Jamaa alikuwa mfalme wa Mitaa kuanzia miaka ya 2003 kwa ngoma zake maarufu Kama,
Elimu mitaani.com,
Sauti ya Gharama,
Bomoa Mipango,
Kitu Gani N.k

Yupo wapi huyu mwamba!? Hata Instagram Hana account

View attachment 2014601
......Narudi maskani namkuta mama kibarazani huku niko bwax halaf nina chupa ya kresti mfukoni.....huhaaaa......sura amekunja eti staki skuli kisa afande mkisi ananiburuza kwenye madawati......huhaaaa"........
 
Wakati raia hawataki tape kununua sasa verse mbil au tatu za kazi gan? Huy mwamba alikuwa na saut ya kipekee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…