Yupo Wapi JULLY TAXI yule wa saladin

Shukrani kwa kunirekebisha mkuu ..je yupo wap kwa sasa
 
Kaka hapo ndo changamoto ilipo ..WATU wenye vipawa hawatumiwi Nimeirudia movie yake ya Saladin Leo kiukweli Content yake bado i hai mpk sasa uwezo mkubwa sana sijui kwanin tunasahau mchango wa hawa lengendary !
 
kuna siku alinipta pasiansi(ilemela) alikua kwenye noah.Sema skuchukua namba yake ningekupa mkuu
 
kuna siku alinipta pasiansi(ilemela) alikua kwenye noah.Sema skuchukua namba yake ningekupa mkuu
Aisee mkuu siku nyngine chukua namba yake nataka nizungumze nae mengi as far as movie industry concerns. .
 
Kweli yani alijitahidi sana. Movie kama saladini ilikua na effect nzuri sana.
 
Movie zake ambazo yeye ndo kaziongoza kuna
Saladini
Mtemi
Chozi < kama sijakosea saladini pia alicheza humo kama mama alizaa mtoto akamwacha msituni

Japokua movie zake zilikua za kishamba shamba ila Jamaa alikua moto wa kuotea mbali , sio mru wa kupuuzwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…