Yupo wapi Khantwe?

Hivi kwa nini wanaume wengi wanachukia vikoba eti

Sent using Jamii Forums mobile app
Mnasingizia mengi kila kitu nlikuwa kwenye kikoba, kuna mama wa kikoba tunamchangia, kuna mchango wa kikoba, tumeongeza mtu kwenye kikoba...

Kuna mama na dada flani kwenye kikoba wana vihherehere wanajfanya wajuaji, tunavunja kikoba yan maisha yote ni kikoba...

What the hell..??! [emoji856]
 
[emoji16][emoji16] basi hatutawakuwa tunawasimulia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…