Yupo wapi kocha mliyeapa kwamba mtamtangaza kabla ya mechi ya kesho

iyokichiku

Member
Joined
Oct 30, 2023
Posts
36
Reaction score
70
Viongozi wa klabu ya Simba mbona mnajidhalilisha kwa kusema uongo mkiongozwa na mtendaji mkuu (CEO), Pamoja na meneja wa habari na mawasiliano Ahmed Ally.

Mliutangazia umma na mashabiki wa Simba kwa ujumla kwamba kocha angetangazwa punde, hivi mnaijua punde?acheni ujinga kutuona hatujui kitu, mmefanya kitu kibaya sana.
Usomi wenu hauendani na matendo yenu.

Hatuendi uwanjani kesho
Hatuendi uwanjani kesho
 
We jamaa mbona hayajasoma hayo majamaa futa kauli ya usomi wenu masta, ila simba mashabiki mmekuwa na hasira sana safari hii 😂😂😂
 
Ukitaka kuyaona makalio ya kuku vizia upepo ukimpiga kunako manyoya ya nyuma" unasajili wachezaji 8 wawili ndo wapambanaji...
......viongozi wa Simba peleka mikumi wakaliwe na Simba wenzao
 
Uyu CEO toka amekuja hakuna jambo la maana amefanya anaanzisha program nyingi zisizo na maana wala muendelezo! Jamaa ni mbabaishaji mno!
 
Kichapo Cha 5....1 kimeharibu Kila kitu pale ukoloni
Kabla ya mechi Ile ......Hali ilikuwa shwari sana[emoji23][emoji23]

Hadi Ahmed ally alisema mechi na Yanga sio kipimo sahihi Chao
 
pale walitaka waseme nyie punda,wakajikuta wameandika hivi punde...
 
Mchawi mweusi,,Bakari Shime,,hapo vipii,Hapo!!
 
Uyu CEO toka amekuja hakuna jambo la maana amefanya anaanzisha program nyingi zisizo na maana wala muendelezo! Jamaa ni mbabaishaji mno!
Kafungua whatsap channel alisema waliwafata
Uyu CEO toka amekuja hakuna jambo la maana amefanya anaanzisha program nyingi zisizo na maana wala muendelezo! Jamaa ni mbabaishaji mno!
Alifungua wasap channel na program ya back to school ndiyo mafanikio yake🤣🤣 na kupeleka jezi mlima kilimanjaro
 
Uyu CEO toka amekuja hakuna jambo la maana amefanya anaanzisha program nyingi zisizo na maana wala muendelezo! Jamaa ni mbabaishaji mno!
Kabisa hadi anaenda kuzindua Wasap Channel.

Mwamba anazingua sana
 
😹 Mashabiki Bora afrika wamesusa 🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…