Yupo Wapi Kocha Mzalendo Jamhuri Kiwelo Julio?

Yupo Wapi Kocha Mzalendo Jamhuri Kiwelo Julio?

ibanezafrica

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2014
Posts
7,261
Reaction score
6,553
Amekua kimya sana mkongwe huyu ambae Mimi namkubali sana Kama mmoja wa walimu wazuri sana wazalendo wa mpira wa miguu ambae bado amekua akijitahidi kushauri lakini amekua ni kama athaminiwi lakini ni mmoja wa watu wanaofahamu vizuri Siri ya soka letu
Nimeshangaa tokea zilipoanza kampeni za Serengeti U17 tumekua tukisikia sauti zahamasa toka kwa watu mbalimbali ikiwemo wanasiasa ila sauti au ushauri toka kwa mtu kama Julio haukuwahi kusikika kabisa
Kuondolewa kwa Serengeti kuwe chachu na kianzio cha Tff /serikali kuanza sasa kujipanga kutengeneza timu imara ya kiwango cha kimataifa huko baadae na mmoja wa wadau wa kampeni hii awe Mzalendo Jamhuri Kiwelo.
 
Utakua unamsoma kwenye vyombo vya habari na kumsikia redion;Hakuna kocha wa hovyo kama huyo
 
Julio yule ni kama mwanasiasa tu. Hafai kuwa kocha labda awe mouthpiece ya team tu. Hakunaga kocha mropokaji hovyo kama yule labda Mourinho kwa mbali.
 
Alikuwa Dodoma akatimuliwa,timu ina kila kitu ameshindwa kuipandisha daraja mara mbili,hakuna kocha pale bali msimamizi wa mazoezi
 
Alikuwa Dodoma akatimuliwa,timu ina kila kitu ameshindwa kuipandisha daraja mara mbili,hakuna kocha pale bali msimamizi wa mazoezi
mkuu una maanisha nini kusema Dodoma Fc ina kila kitu,unajua vizuri siasa za soka DODOMA!??
 
Back
Top Bottom