ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,553
Kwa kua mswahili mwenzetu?Utakua unamsoma kwenye vyombo vya habari na kumsikia redion;Hakuna kocha wa hovyo kama huyo
mkuu una maanisha nini kusema Dodoma Fc ina kila kitu,unajua vizuri siasa za soka DODOMA!??Alikuwa Dodoma akatimuliwa,timu ina kila kitu ameshindwa kuipandisha daraja mara mbili,hakuna kocha pale bali msimamizi wa mazoezi
Eventually, reality caught up with him. Hana kitu.
Julio yule ni kama mwanasiasa tu. Hafai kuwa kocha labda awe mouthpiece ya team tu. Hakunaga kocha mropokaji hovyo kama yule labda Mourinho kwa mbali.
Mnaonaje akipewa Serengeti boys? Huenda akatujengea kizazi kizuri cha soka cha baadae au vipi?Yule sio kocha...ni Kama Manara tu
Kwani Serengeti boys ndio ahihitaji ufundi???Mnaonaje akipewa Serengeti boys? Huenda akatujengea kizazi kizuri cha soka cha baadae au vipi?