King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 56,205
- 79,515
Habari kwenu wana Jamii forums.
Miaka ya 2007/8 kuna jamaa kutoka Italy alikuwa ana hit sana kwenye mitandao ya kijamii kuanzia Global publisher,Michuzi na Bongo celebrity,nakiri yeye ndio aliyenifanya nikaijua Jamii forums.
Kwani alikuwa akiniambia ingia Jamii forums ukaanzishe thread kuhusu label yake ya marangu records lakini nikawa siijui ndio akanipa link ndio nikajiunga na Jamii forums,najua yupo humu tunaomba ajitokeza na kwa Identy yake ile ya "Mark Mushi wa Italy."