NALIA NGWENA
JF-Expert Member
- Oct 6, 2016
- 10,587
- 13,425
Maisha yanakwenda Kasi sana Kuna kipindi waandishi wa habari na wachambuzi wa Mchongo, walitumika vibaya sana kuwatoa kwenye mchezo wachezaji wa Yanga Sc akiwemo Aziz K.
Nakumbuka msimu uliopita ulikua mchungu sana kwa wachezaji wa Yanga, Micky Jr alitumika vibaya kumshambulia Aziz K, alifikia hatua Yakusema kuwa "Yanga Sc wamepigwa na Aziz k Hana hadhi ya kucheza Yanga maana Hana kiwango"
Ukiangalia msimu uliopita Nabi alikua anamuweka benchi Azizi k anaanza Feisal maneno ndiyo yalikua mengi sana Tena sana.
Saivi Aziz K mwamba anakiwasha, mwamba anakiwasha anatupia goli za kutosha hakuna hata mwandishi wa habari /mchambuzi wa Mchongo aliyejitokeza na kumuomba radhi Aziz K.
Ikumbukwe Aziz K Alishawahi kumjibu Mick jr kwa propaganda zake za kipumbavu alizokua anazifanya /kutumika vibaya na upande wa pili.
SAIVI TIMU YA SIMBA SC INAJITAFUTA WACHAMBUZI WA MCHONGO/WALIOKUA WANARAMBA PERCENT KUTOKA SIMBA WAPO KIMYA KAMA WAMEKUFA WANASUBIRI TIMU IFUFUKE TENA WAANZE KUIPAMBA.