Yupo wapi Micky Jr aliyetumika na Simba sc kusambaza propaganda za kumtia preha Azizi k??

Hilo punga tapeli la kighana nilishalilima tofali .
Yaani lenyewe linaripoti habari negative za yanga ila kwa simba hata habari mbaya linazipetipeti kuwa nzuri

Lenyewe nadhani huwa linakula posho kule ahly ahly na simba
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…