Freed Freed
JF-Expert Member
- Jun 27, 2017
- 6,547
- 7,167
Ni luteni wa jwtz kwa sasaNadhani ni mwajiriwa jwtz kwa sasa, nimeshamsikia mara kadhaa ktk sherehe za kitaifa zinazojumuisha gwaride ya jeshi.
Kumbe kapambana hadi kufika huko, mi nilikuwa namwona mtu mzima sana. Kumbe ukikomaa unapata nafasi jeshini madam una afya njema.Ni luteni wa jwtz kwa sasa
Haha Noma kaka dah Mimi Leo imenibidi nigugo ndo nikakutana na huu uzi wako maana jamaa namuona anaripotia jwtz nikasema hapana bhana sijamfananishaaa daaaah...... Ila uwe na connection Mzee baba kutoboa ni shughuli bhanaKumbe kapambana hadi kufika huko, mi nilikuwa namwona mtu mzima sana. Kumbe ukikomaa unapata nafasi jeshini madam una afya njema.