Anapatikana yombo machimbo kama ndiye huyo mwenye kuvaa kofia kama yule mcongo wa inda monie.Rahisi jumapili fika kanisa la kkkt mtaà wa makangalawe yombo machimbo,kanisa liko barabarani kabisa.Wakuu namtafuta Mr. Ringo. Huyu alikuwa ni Mwalimu wa Mchezo Karate pale Upanga, jijini Dar es Salaam miaka ya 1998 kama sikosei hadi miaka ya 2000. Wakati huo alikuwa anaishi Mtaa wa Mvita na Livingston. Kazi yake kubwa ilikuwa ni kuwafundisha watoto na Vijana masuala ya Karate na alikuwa Mwalimu mzuri sana.
Tafadhali, kwa anaefahamu alipo naomba anisaidie
Sent using Jamii Forums mobile app
Kanda BongomanAnapatikana yombo machimbo kama ndiye huyo mwenye kuvaa kofia kama yule mcongo wa inda monie.Rahisi jumapili fika kanisa la kkkt mtaà wa makangalawe yombo machimbo,kanisa liko barabarani kabisa.