Yupo wapi mzee wa Tashitwiti Prof Palamagamba kabudi?

The Saver

JF-Expert Member
Joined
Aug 21, 2014
Posts
202
Reaction score
651
Muda sasa Prof kabuti kuonekana Public maana hata issue ya watanzania kubaguliwa China Prof hajaonekana,

Issue nyingi zinazohusu wizara ya mambo ya nje na kimataifa amekuwa kimya, upotoshaji unafanyika Kati ya WB na Magufuli lakin Prof kimya

Je Prof yupo wapi? Au kapitwa na somba somba?
 
Atakuwa kwenye mifuko ya boss wake.
 
Siku ya Ijumaa Kuu alihudhuria Miss Takatifu. Sasa hivi ametulia tuli na mambo yanaenda!
 
Inaonyesha huyu jamaa kawalisha sana matango pori wanafunzi wake na wameyameza vzr maana anauwezo mkubwa wa kukielezea kitu cha uongo huku amewakazimia macho audiences kwa kujiamini mpaka ukaamini kwamba anasema ukweli. Anatoa matango pori bila tashitwiti wala kupepesa macho.
 
🤣
 
Back
Top Bottom