Atakuwa kwenye mifuko ya boss wake.Muda sasa Prof kabuti kuonekana Public maana hata issue ya watanzania kubaguliwa China Prof hajaonekana,
Issue nyingi zinazohusu wizara ya mambo ya nje na kimataifa amekuwa kimya, upotoshaji unafanyika Kati ya WB na Magufuli lakin Prof kimya
Je Prof yupo wapi? Au kapitwa na somba somba?
🤣Inaonyesha huyu jamaa kawalisha sana matango pori wanafunzi wake na wameyameza vzr maana anauwezo mkubwa wa kukielezea kitu cha uongo huku amewakazimia macho audiences kwa kujiamini mpaka ukaamini kwamba anasema ukweli. Anatoa matango pori bila tashitwiti wala kupepesa macho.