Yupo wapi na anafanya nini?

ukinipa jibu la star huyu nitakuPM voda ya 5000/= nauliza yuko wa Star wa movie ya Shamba Kubwa.

Ipycalypse aliyeigiza shamba kubwa anaitwa jimmy mponda aka j plus,ndo huyu anaetamba na muvi za misukosuko..
 
Last edited by a moderator:
Ipycalypse aliyeigiza shamba kubwa anaitwa jimmy mponda aka j plus,ndo huyu anaetamba na muvi za misukosuko..

Mkuu Jimmy Mponda hakuwa starring yupo yule jamaa alikua anavaa nguo za karate nyeupe
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…