Konda wa bodaboda
JF-Expert Member
- Jul 18, 2014
- 7,981
- 4,170
Ana nafasi gani crdb?Yupo CRDB
Uchimvi huo,nafasi kubwa tu ya kutosha kukaa watu watatu ofisini.Ana nafasi gani crdb?
Nakumbuka filamu aliyocheza na johari na ray, yeye akiwa kama mke wa boss mmoja kwenye kampuni yao.
Alionekana kwenye wimbo wa zari la mentali wa Prof. J akijitambulisha kama vicky.
Je huyu celebrity yupo wapi sasa? Kitambo haonekani kwenye sanaa.
Ndio crdb huko?Yupo ghetto mbezi beach upepo unapovuma.
Sana mkuu.Huyo dame ni mzuri
Asante kwa kuweka kumbukumbu sawa, ni yellow banana mkuu. Hivi yule aliye-act kama mdogo wake ambaye alikuwa safari moja na ray ni nani?Unaiongelea filamu ya YELLOW BANANA hiyo ki ukweli hii filamu ni nzuri sana, inaanzia Arusha to Dar. Huyo demu nasikia ni ofisa mahusiano wa CRDB BANK hapa Dar.
Mkuu yule binti kwa kweli simfahamu ila nasikia anaishi maeneo ya Sanawari Arusha, ngoja tumuulize Preta pengine wanaonanaga huko Arusha bcoz tabia zao zinafanana tu!Asante kwa kuweka kumbukumbu sawa, ni yellow banana mkuu. Hivi yule aliye-act kama mdogo wake ambaye alikuwa safari moja na ray ni nani?
Kumbe mambo safi ndio maana haonekani bongo movie.Yuko CRDB aliolewa na ana mtoto mmoja sasa... pia anahusika katika kuwavalisha wadada wa mjini na duka la fashionista
Well, huyu Preta ni Mumbulu mtulivu sana anajua maana ya kuwa mwanamke, hatongozeki kiboyaboya. Kwani huyo demu wa kwenye filamu we ulishaiona picha yake kwenye magazeti ya shigongo? Jibu ni hapana maana hako kademu hakana kujichetuachetua!Mkuu weka wazi basi ili kupunguza maswali.
Kwa shep ile inawezekana kabisa,ila subiri jibu humu humuKweli mkuu, hivi Nargis naye ni mbulu?