Konda wa bodaboda
JF-Expert Member
- Jul 18, 2014
- 7,981
- 4,170
- Thread starter
-
- #21
Kweli mkuu, hivi Nargis naye ni mbulu?
Heaven on Earth come here my dear.Kwa shep ile inawezekana kabisa,ila subiri jibu humu humu
Kuna yule dada aliyeigiza kama mdogo wake na nargis ambaye ndiye alimleta ray kigosi nyumbani kwa Nargis, hivi ni nani yule na yupo wapi naye?Nakumbuka filamu ilikuwa inaitwa yellow banana
Kuna yule dada aliyeigiza kama mdogo wake na nargis ambaye ndiye alimleta ray kigosi nyumbani kwa Nargis, hivi ni nani yule na yupo wapi naye?Nakumbuka filamu ilikuwa inaitwa yellow banana
sikiliza vicky naomba tuwe marafiki, ila hadhi yako hutakiwi kuwa na mtu wa dhiki.Ndio crdb huko?
Huyo mtoto mkali sana, sijui ni kabila gani? Halafu ni mrefu, aisee!!Na yeye atakuwa mbezi beach, nasikia ndiye aliyemfundisha Ray kunywa maji.
Watu wa uswahili wakasema natumia kizizi.sikiliza vicky naomba tuwe marafiki, ila hadhi yako hutakiwi kuwa na mtu wa dhiki.
wewe Full mind unafuata nini humu? ebu tutokee hapaEmpty mind discus people's life..
Ushaumia...wewe Full mind unafuata nini humu? ebu tutokee hapa
ndo utuambie wewe ambaye mind yako iko full umefuata nini kwa empty minded people kama sio umbea na unafikUshaumia...
Haaahaaaahaa ! katika ubora wako, mie nimepita kimya sijui watu wakisikia celebrity wanajua ni aina za mboga mboga!wewe Full mind unafuata nini humu? ebu tutokee hapa
asituchafulie hali ya hewa hapa mxieeeHaaahaaaahaa ! katika ubora wako, mie nimepita kimya sijui watu wakisikia celebrity wanajua ni aina za mboga mboga!
Mzaramo yuleKwa shep ile inawezekana kabisa,ila subiri jibu humu humu
Hapana hayuko Dar yuko mwanzaUnaiongelea filamu ya YELLOW BANANA hiyo ki ukweli hii filamu ni nzuri sana, inaanzia Arusha to Dar. Huyo demu nasikia ni ofisa mahusiano wa CRDB BANK hapa Dar.