Yupo wapi Nargis Mohamed?

Haha humu jf kuna watu huwa hawataki usumbufu wanaongea kwa vitendo. Umenifurahisha
Mkuu umetisha. Huyu Nargris Mohammed inaonekana ni mdada ambae hana makuu. Hajawahi kuwa na skendo. Hongera aliyemuoa kwa kupata mke mwema.
 
Ipo. Ukitoka ITV kuna boda moja unakuja kutokea nyumba za viongozi kama Mawaziri, Makatibu wakuu.Hiyo njia ina benki. Inabidi uwe mtundu wa boda ili uione hiyo njia.Inakutana na barabara ya Rose Garden
Nashukuru kiongozi.......wadau wameshupaza shingo vibaya mno
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…